Skip to content

Commit bb8bbcb

Browse files
authored
Merge pull request #11188 from ethereum/sept19Swahili
Update Swahili (sw) Essentials and Exploring buckets
2 parents 88320ac + e165489 commit bb8bbcb

File tree

8 files changed

+279
-56
lines changed

8 files changed

+279
-56
lines changed
Lines changed: 94 additions & 0 deletions
Original file line numberDiff line numberDiff line change
@@ -0,0 +1,94 @@
1+
---
2+
title: Ishara zisizokuvu (NFTs)
3+
description: Muhtasari wa NFT kwenye Ethereum
4+
lang: sw
5+
template: use-cases
6+
emoji: ":frame_with_picture:"
7+
sidebarDepth: 2
8+
image: ../../../../assets/infrastructure_transparent.png
9+
alt: Nembo ya Eth ikionyeshwa kwa kupitia hologramu.
10+
summaryPoint1: Njia ya kuwakilisha kitu chochote cha pekee kama mali zilizojengwa na Ethereum.
11+
summaryPoint2: NFT zinawapatia waundaji wa maudhui nguvu zaidi kuliko zamani.
12+
summaryPoint3: Inaendeshwa na mikataba erevu kwenye mnyororo wa bloku wa Ethereum.
13+
---
14+
15+
## What are NFTs? {#what-are-nfts}
16+
17+
NFT ni tokeni zilizo na ubinafsi wa kipekee. Kila NTF ina sifa tofauti (haziwezi kuigwa) na ni chache. Hii ni tofauti na tokeni kama ERC-20 ambapo kila tokeni kwenye kikundi hufanana na huwa na sifa sawa ('inaweza kuigwa'). Hujali bili ya dola mahususi uliyo nayo kwenye pochi yako kwa sababu zote zinafanana na thamani zao ni sawa. Hata hivyo, _unajali_ tokeni ya kidijitali unayomiliki, kwa sababu zote huwa na sifa zao za binafsi na unaweza kuzitofautisha kutoka kwen ye nyingine ('haziwezi kuigwa').
18+
19+
Upekee wa kila tokeni za kidijitali zisizoweza kuigwa ni kuwezesha ishara ya vitu kama sanaa, vitu vinavyokusanywa ama mali isiyohamishika, ambapo kila tokeni maalum ya kidijitali isiyoweza kuigwa huwakilisha ulimwengu halisi ama bidhaa ya kidijitali. Umiliki wa mali unalindwa na mnyororo wa bloku wa Ethereum – hakuna anayeweza kubadili nyaraka za umiliki ama kutoa/kubandika nakala mpya za NFT.
20+
21+
<YouTube id="Xdkkux6OxfM" />
22+
23+
## Mtandao wa mali {#internet-of-assets}
24+
25+
Tokeni zisizoweza kuigwa na Ethereum husuluhisha shida zinazokuwepo kwenye intaneti leo. Kwa kuwa kila kitu kinakuwa cha kidijitali, kuna haja ya kuiga sifa za vitu halisi kama uhaba, upekee na ushahidi wa umiliki. kwa njia isiyoweza kudhibitiwa na mashirika yasiyogatuliwa. Kwa mfano, ukiwa na tokeni za kidijitali zisizoigwa, unaweza kumiliki muziki wa sampuli ya MP3 ambao hauko kwenye programu ya muziki maalum au unaweza kumiliki tovuti ya mtandao wa kijamii ambao unaweza kuuza ama kubadilishana lakini hauwezi kuchukuliwa kihohela kutoka kwako na mtoaji jukwaa.
26+
27+
Hivi ndivyo mtandao wa NFT unafanya kazi ukilinganisha na intaneti ambao wengi wengi tunatumia leo...
28+
29+
### Ulinganisho {#nft-comparison}
30+
31+
| Intaneti/Mtandao wa NFT | Intaneti ya leo |
32+
| --------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- | ----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- |
33+
| Unamiliki mali yako! Ni wewe tu unayeweza kuziuza ama kuzibadilisha mwenyewe. | Unaweza kukodisha mali kutoka kwenye mashirika mengine. |
34+
| NFT zina sifa za kipekee za kidijitlai, hakuna NFT mbili zitakazofanana. | Mara nyingi nakala ya chombo haiwezi kutofautishwa na ya asili. |
35+
| Umiliki wa tokeni zisizoweza kuigwa unawekwa kwenye mnyororo wa bloku ili kila mtu aweze kuthibitisha. | Rekodi za umiliki wa vitu vya kidijitali zinahifadhiwa kwenye seva zinazodhibitiwa na taasisi – lazima uziamini. |
36+
| Tokeni zisizoigwa ni mikataba erevu kwenye Ethereum. Hii inamaana kuwa zinaweza kutumika kwenye mikataba erevu mingine na programu kwenye Ethereum! | Kampuni zenye bidhaa za kidigitali huhitaji kuwa na "hifadhi yenye ukingo". |
37+
| Waunda maudhui wanaweza kuuza kazi zao sehemu yoyote na kufikia soko la ulimwengu mzima. | Waundaji wanategemea miundombinu na usambazaji wa majukwaa wanayotumia. Mara nyingi hili hufuata sheria na masharit na vizuizi vya kijiografia. |
38+
| Watengenezaji wa tokeni zisizoigwa wanaweza kuhifadhi haki za kazi na mirabaha ya programu zao moja kwa moja kwenye mkataba wa tokeni zisizoigwa. | Majukwaa kama ya huduma za kutiririsha muziki, yanapata faida nyingi kutoka kwenye mauzo. |
39+
40+
## NFT zinafanyaje kazi? {#how-nfts-work}
41+
42+
Kama aina yeyote ya tokeni inayotolewa kwenye Ethereum, tokeni zisizoigwa zinatolewa na mkataba erevu. Mkataba erevu hutimiza moja viwango kadhaa vya tokeni zisizoigwa (haswa ERC-721 au ERC-1155) ambavyo hufafanua kazi ya mkataba huo. Mkataba huu unaweza kuunda ('kuzalisha') tokeni zisizoigwa na kuzipa kwa mmiliki maalum. Umiliki unafafanuliwa kwenye mkataba kwa kuweka tokeni zisizoigwa kwenye anwani maalum. Tokeni isiyoigwa ina kitambulisho na kwa kawaida ina maelezo ya data ambayo hufanya tokeni hii mahususi kuwa ya kipekee.
43+
44+
Mtu anapotengeneza ama kuzalisha tokeni zisizoigwa, anatekeleza kazi ndani ya mkataba erevu ambao huteua tokeni isiyoigwa kwenye anwani yake. Habari hii huhifadhiwa hifadhi ya mkataba wake ambayo ni sehemu ya mnyororo wa bloku. Mtengenezaji wa mkataba anaweza kuandika mantiki zaidi kwenye mkataba, kwa mfano, kuweka kiwango cha usambazaji ama kufafanua mrabaha utakaolipwa kwa mtengenezaji kila mara tokeni zinapohamishwa.
45+
46+
## NFT zinatumika kufanya nini? {#nft-use-cases}
47+
48+
Tokeni zisizoigwa hutumika kwa mambo mengi, ikiwa ni pamoja na:
49+
50+
- kuthibitisha kwamba ulihudhuria tukio
51+
- kuthibitisha kwamba ulimaliza kozi
52+
- umiliki wa vitu vya michezo
53+
- sanaa ya kidijitali
54+
- kugeuza mali za kidunia kuwa tokeni
55+
- kuthibitisha utambulisho wako kwenye mtandao
56+
- kuzuia ufikiaji wa maudhui
57+
- ukataji tiketi
58+
- majina ya kikoa kwenye intaneti iliyogatuliwa
59+
- dhamana kwenye mambo ya fedha yaliyogatuliwa
60+
61+
Labda wewe ni msanii amabaye angependa kushiriki kazi yake kupitia tokeni zisizoigwa, bila wewe kupoteza udhibiti ama kuwapa waamuzi faida zako. Wewe unaweza kutengeneza mkataba mpya na kuweka bayana hesabu ya tokeni zisizoigizwa, vipengele vyao na kiungo chao kwa kazi mahususi ya sanaa. Kama msanii, unaweza kuprogramu ndani ya mkataba-erevu mrabaha unaofaa kulipwa (kwa mfano hamisha 5% ya bei ya mauzo kwa mwenye mkataba kila wakati tokeni isiyoigwa) inapohamishwa. Vile vile unaweza kuthibitisha kwamba wewe ndiwe umetengeneza tokeni isiyoigwa kwa sababu wewe ndiwe mmiliki wa pochi iliyotuma mkataba huo. Wanunuzi wako wanaweza kuthibitisha kuthibitisha kwa urahisi kwamba wao ndio wamiliki wa tokeni isiyoigwa halisi kutoka kwenye mkusanyiko wako kwa sababu anwani ya pochi zao inashirikishwa na tokeni kutoka kwenye mkataba wako. Wanaweza kuitumia katika mfumo wa ikologia ya Ethereum, inayoaminika kwa uhalisi wake.
62+
63+
Ama zingatia tiketi ya mechi ijayo. Kama mratibu wa matukio anavyoweza kuamua idadi ya tiketi za kuchapisha, muundaji wa NFT anaweza kuamua idadi ya kuwepo kwa nakala za kazi yake. Wakati mwingine huwa na nakala za ziada, kama vile Tiketi 5000 za Kiingilio cha Jumla. Wakati mwingine nyingine zinachapishwa zinazofanana, ila kila moja ina tofauti ndogo na yenzake, kama vile tiketi yeneye nambari ya kiti. Hizi zinaweza kununuliwa na kuuzwa kutoka kwa mshirika mmoja mpaka kwa mwingine kusipokuwepo na ulipaji wa washikaji tiketi na wanunuzi watakuwa na uhakika wa tiketi halisi kwa kuangalia anwani ya mkataba huo.
64+
65+
Kwenye ethereum.org, tokeni zisizoigwa zinatumika kuonyesha kwamba watu wamechangia kwenye hazina ya Github ama kushiriki kwa wito uliotolewa, vile vile tuna jina la kikoa cheti cha tokeni isiyoigwa. Ukichangia kwenye ethereum.org, unaweza kudai NFT ya POAP. Mikutano mingine ya sarafu za kidijitali imetumia POAPs kama tiketi. [Zaidi juu ya uchangiaji](/contributing/#poap).
66+
67+
![POAP za ethereum.org](./poap.png)
68+
69+
Tovuti hii pia inatumia jina mbadala la kikoa linaloendeshwa na NFT, **ethereum.eth**. Anwani yetu ya `.org` inasimamiwa na mfumo wa majina wa kati/jadi(DNS), wakati ethereum`.eth` imesajiliwa kwenye huduma za majina ya Ethereum (ENS). Na hii linamilikiwa na kuendeshwa na sisi. [Angalia rekodi zetu za ENS](https://app.ens.domains/name/ethereum.eth)
70+
71+
[Zaidi juu ya ENS](https://app.ens.domains)
72+
73+
<Divider />
74+
75+
### Usalama wa NFT {#nft-security}
76+
77+
Usalama wa Ethereum unakuja kutokana na ushahidi wa hisa. Mfumo huu umebuniwa ili uweze kuondoa vitendo ya kihasidi kiuchumi na basi kuifanya Ethereum sugu kwa uharibifu. Hii ndiyo inayofanya tokeni zisizoigwa kuwezekana. Mara tu bloku yenye muamala wako wa NFT inapokamilika, inaweza kugharimu mshambulizi mamilioni ya ETH kuibadilisha. Mtu yeyote anayetumia programu ya Ethereum anaweza kujua haraka mambo yasiyofaa ya kuhitilafiana na NFT, na mtu huyu mbaya atatozwa malipo na kuondolewa.
78+
79+
Maswala ya usalama yanayohusiana na NFT sana sana yanahusiana na utapeli wa kutumia barua pepe, hatari za mkataba-erevu au makosa ya mtumiaji (kama vile kuweka wazi funguo za siri) na hivyo kufanya usalam bora wa pochi uwe muhimu sana kwa wamiliki NFT.
80+
81+
<ButtonLink to="/security/">
82+
Maelezo zaidi kuhusu usalama
83+
</ButtonLink>
84+
85+
## Soma zaidi {#further-reading}
86+
87+
- [Mwongozo wa wa mwanafunzi wa NFT](https://linda.mirror.xyz/df649d61efb92c910464a4e74ae213c4cab150b9cbcc4b7fb6090fc77881a95d)_Linda Xie, Januari 2020_
88+
- [Mfuatliliaji EtherscanNFT](https://etherscan.io/nft-top-contracts)
89+
- [Kiwango cha tokeni cha ERC-721](/developers/docs/standards/tokens/erc-721/)
90+
- [Kiwango cha tokeni cha ERC-1155](/developers/docs/standards/tokens/erc-1155/)
91+
92+
<Divider />
93+
94+
<QuizWidget quizKey="nfts" />

src/intl/sw/page-dapps.json

Lines changed: 17 additions & 2 deletions
Original file line numberDiff line numberDiff line change
@@ -1,11 +1,13 @@
11
{
22
"page-dapps-1inch-logo-alt": "Nembo ya inchi 1",
3+
"page-dapps-dexguru-logo-alt": "Nembo ya DexGuru",
34
"page-dapps-aave-logo-alt": "Nembo ya Aave",
45
"page-dapps-add-button": "Pendekeza dapp",
56
"page-dapps-add-title": "Ongeza dapp",
67
"page-dapps-audius-logo-alt": "Nembo ya Audius",
78
"page-dapps-augur-logo-alt": "Nembo ya Augur",
89
"page-dapps-axie-infinity-logo-alt": "Nembo ya Axie Infinity",
10+
"page-dapps-balancer-logo-alt": "Nembo ya Balancer",
911
"page-dapps-brave-logo-alt": "Nembo ya Brave",
1012
"page-dapps-category-arts": "Sanaa na mtindo",
1113
"page-dapps-category-browsers": "Vivinjari",
@@ -47,6 +49,7 @@
4749
"page-dapps-dapp-description-audius": "Majukwaa ya uturirishaji yaliogatuliwa. Wasikilizaji = pesa za waundaji, na sio lebo.",
4850
"page-dapps-dapp-description-augur": "Bashirir juu ya matokeo ya michezo, uschumi na matukio mbali mbali ulimwenguni.",
4951
"page-dapps-dapp-description-axie-infinity": "Fanya biashara na viuimbe vipambanaji kwa jina Axies. Na jinshindie pesa unapocheza - iapatikana kwenye simu za rununu",
52+
"page-dapps-dapp-description-balancer": "Balancer ni kidhibiti cha kiotomatiki cha potifolio na ni jukwaa la biashara.",
5053
"page-dapps-dapp-description-brave": "Jipatie ishara kwa kuvinjari na kutegemeza waundaji uwapendao.",
5154
"page-dapps-dapp-description-cent": "Mtandao wa kijamii unapata pesa kwa kuchapisha NFT.",
5255
"page-dapps-dapp-description-compound": "Azima tokeni zako ili kupata riba na uondoe wakati wowote.",
@@ -77,12 +80,15 @@
7780
"page-dapps-dapp-description-zapper": "Fuatilia kwingineko yako na utumie anuwai ya bidhaa za DeFi kutoka kiolesura kimoja.",
7881
"page-dapps-dapp-description-zerion": "Dhibiti kwingineko yako na utathmini kwa urahisi kila kipengee cha DeFi kwenye soko.",
7982
"page-dapps-dapp-description-rotki": "Zana ya ufuatiliaji wa jalada huria, uchanganuzi, uhasibu na kuripoti kodi ambayo inaheshimu faragha yako.",
83+
"page-dapps-dapp-description-krystal": "Jukwaa moja kwa linalokupa ufikiaji wa huduma za DeFi uzipendazo.",
8084
"page-dapps-dapp-description-rarible": "Unda, uuze na ununue vifurushi vya ishara.",
8185
"page-dapps-dapp-description-sablier": "Pata mtiririko wa hela katika wakati halisi.",
8286
"page-dapps-dapp-description-superrare": "Nunua kazi za sanaa za kiidjitali kutka kwa wasanii au masoko ya sekondari.",
8387
"page-dapps-dapp-description-token-sets": "Mikakati ya uwekezaji ya Crypto ambayo inasawazisha kiotomatiki.",
8488
"page-dapps-dapp-description-tornado-cash": "Fanya miamala ya siri kwenye Ethereum.",
8589
"page-dapps-dapp-description-uniswap": "Badilisha ishara kiurahisis au toa ishara kupata zawadi kwa silimia % kadhaa.",
90+
"page-dapps-dapp-description-dexguru": "Ufanyaji wa biashara bila usimamizi kwa wauzaji wa fedha zilizogatuliwa",
91+
"page-dapps-dapp-description-synthetix": "Synthetix ni itifaki ya utoaji wa na ufanyaji biashara wa amali asili",
8692
"page-dapps-docklink-dapps": "Utangulizi wa dapps",
8793
"page-dapps-docklink-smart-contracts": "Mikataba erevu",
8894
"page-dapps-dark-forest-logo-alt": "Nembo ya Dark Forest",
@@ -93,6 +99,8 @@
9399
"page-dapps-zapper-logo-alt": "Nembo ya Zapper",
94100
"page-dapps-zerion-logo-alt": "Nembo ya Zerion",
95101
"page-dapps-rotki-logo-alt": "Nembo ya Rotiki",
102+
"page-dapps-krystal-logo-alt": "Nembo ya Krystal",
103+
"page-dapps-synthetix-logo-alt": "Nembo ya Synthetix",
96104
"page-dapps-desc": "Tafuta programu ya Ethereum ujaribishe.",
97105
"page-dapps-doge-img-alt": "Kielelezo cha doge akitumia tarakilishi",
98106
"page-dapps-editors-choice-dark-forest": "Cheza dhidi ya wengine kujipatia sayari na jaribishe upanga unaovuja wa Ethereum inayotanuka/teknolojia binafsi. Labda kwa wale wanaoitambua Ethereum tayari.",
@@ -116,7 +124,7 @@
116124
"page-dapps-features-5-title": "Kuingia moja bila jina",
117125
"page-dapps-features-6-description": "Kriptografia huhakikisha kwamba wavamizi hawawezi kughushi miamala na mwingiliano mwingine wa dapp kwa niaba yako. Unaidhinisha vitendo vya dapp ukitumia akaunti yako ya Ethereum - kwa kawaida kupitia mkoba wako - ili hati zako zisalie salama.",
118126
"page-dapps-features-6-title": "Inalindwa na kriptografia",
119-
"page-dapps-features-7-description": "Pale ambapo dapp inakua hai kwenye Ethereum, itaanguka pale tu Ethereum yenyewe itakapoanguka. Mitandao ya ujazo wa Ethereum ina sifa mbaya kwa washambuliaji maana haipenyeki.",
127+
"page-dapps-features-7-description": "Pale ambapo dapp inakua hai kwenye Ethereum, itaanguka pale tu ethereum yenyewe itakapoanguka. Mitandao ya ujazo wa Ethereum ina sifa mbaya kwa washambuliaji maana haipenyeki.",
120128
"page-dapps-features-7-title": "Haishuki mtandaoni",
121129
"page-dapps-finance-benefits-1-description": "Huduma za kiuchumi zinazoendeshwa juu ya Ethereum hazihitaji usajili. kama una pesa na mtandao uko vizuri kufanya shughuli zako.",
122130
"page-dapps-finance-benefits-1-title": "Ufikiaji ulio wazi",
@@ -169,6 +177,7 @@
169177
"page-dapps-magic-title-2": "nyuma",
170178
"page-dapps-magician-img-alt": "Kielelezo cha wachawi",
171179
"page-dapps-marble-cards-logo-alt": "nembo ya marble.cards",
180+
"page-dapps-async-logo-alt": "Nembo ya Async",
172181
"page-dapps-matcha-logo-alt": "Nembo ya Matcha",
173182
"page-dapps-mobile-options-header": "Vinjari kitengo kingine",
174183
"page-dapps-nifty-gateway-logo-alt": "Nembo ya Nifty Gateway",
@@ -203,7 +212,13 @@
203212
"page-dapps-more-on-defi-button": "Zaidi juu fedha zilizogatuliwa (DeFi)",
204213
"page-dapps-more-on-nft-button": "Zaidi juu ya vifurushi vilivofanya tokeni/ishara",
205214
"page-dapps-more-on-nft-gaming-button": "Zaidi juu ya michezo ya ndani iliofanya tokeni",
215+
"page-dapps-dapp-description-pwn": "Mikopo rahisi iliyoauniwa na tokeni yoyote ama NFT kwenye Ethereum.",
216+
"page-dapps-pwn-image-alt": "Nembo ya PWN",
217+
"page-dapps-dapp-description-yearn": "Yearn Finance ni mkusanyaji wa mapato. Kupatia watu binafsi, DAO na itifaki nyinginezo njia ya kuweka mali ya kidijitali na kupokea mapato.",
218+
"page-dapps-yearn-image-alt": "Nembo ya Yearn",
219+
"page-dapps-dapp-description-convex": "Convex inaruhusu watoa huduma wa ukwasi wa Curve kupata ada za uuzaji na kudai mapato yalioongezwa ya CRV bila kuzifunga CRV yao.",
220+
"page-dapps-convex-image-alt": "Nembo ya Curve",
206221
"foundation": "Msingi",
207-
"transaction-fees": "Ada ya manunuzi ni nini?",
222+
"transaction-fees": "Ada za miamala ni ngapi?",
208223
"page-wallets-get-some": "Pata ETH"
209224
}

src/intl/sw/page-get-eth.json

Lines changed: 3 additions & 0 deletions
Original file line numberDiff line numberDiff line change
@@ -2,6 +2,9 @@
22
"page-get-eth-article-keeping-crypto-safe": "Funguo za kuweka crypto salama yako",
33
"page-get-eth-article-protecting-yourself": "Jihadhari wewe mwenyewe na fedha zako",
44
"page-get-eth-article-store-digital-assets": "Jinsi ya kuhifadhi mali ya dijiti kwenye Ethereum",
5+
"page-get-eth-article-protecting-yourself-desc": "MyCrypto",
6+
"page-get-eth-article-keeping-crypto-safe-desc": "Coinbase",
7+
"page-get-eth-article-store-digital-assets-desc": "ConsenSys",
58
"page-get-eth-cex": "Sehemu za kufanya mabadilishano ambazo hazijagatuliwa",
69
"page-get-eth-cex-desc": "SEhemu za kufanyia mabadilishano ni sehemu za biashara ambazo hukuruhusu kununua kripto kwa kutumia fedha za jadi. Zina ulinzi wa fedhazako zote mpaka pale utakapozituma kwenda kwenye pochi ya Ethereum amabayo utakua unaidhibiti.",
710
"page-get-eth-checkout-dapps-btn": "Anagalia dapps",

src/intl/sw/page-stablecoins.json

Lines changed: 3 additions & 1 deletion
Original file line numberDiff line numberDiff line change
@@ -134,7 +134,7 @@
134134
"page-stablecoins-top-coins-intro": "Mtaji wa soko ni",
135135
"page-stablecoins-top-coins-intro-code": "idadi ya jumla ya ishara zilizopo mara thamani kwa ishara. Orodha hii inabadilika badilika na miradi iliyoorodheshwa hapa sio lazima ziwe zimepitishwa na timu ya ethereum.org.",
136136
"page-stablecoins-types-of-stablecoin": "Jinsi zinavyofanya kazi: Aina ya sarafu-imara",
137-
"page-stablecoins-usdc-banner-body": "Kuna uwezekano kua USDc ndio sarafu maarfu kati ya sarafu-imara zinazobebwa na fedha ya fiat. Thamani yake kwa kukadiria ni kama dola moja hivi na inabebwa na Circle na Coinbase.",
137+
"page-stablecoins-usdc-banner-body": "Kuna uwezekano kua USDc ndio sarafu maarufu kati ya sarafu-imara zinazobebwa na fedha ya fiat. Thamani yake kwa kukadiria ni kama dola moja hivi na inabebwa na Circle na Coinbase.",
138138
"page-stablecoins-usdc-banner-learn-button": "Jifunze kuhusu USDC",
139139
"page-stablecoins-usdc-banner-swap-button": "Badilisha ETH kwenda USDC",
140140
"page-stablecoins-usdc-banner-title": "USDC",
@@ -143,6 +143,8 @@
143143
"page-stablecoins-how-they-work-button": "Jinsi zinavyofanya kazi",
144144
"page-stablecoins-why-stablecoins-body": "ETH, kama Bitcoin, ina bei ilio tete kwasababu ya teknolijia yake mpya. kwahiyo hautataka kufanya matumizi yake mara kwa mara, Sarafu-imara ni kioo cha thamani ya fedha ya jadi ili ikupe uwezo wa kutumia fedha imara kwenye Ethereum.",
145145
"page-stablecoins-more-defi-button": "Zaidi juu fedha zilizogatuliwa (DeFi)",
146+
"page-stablecoins-tools-title": "Jifunze zaidi juu ya sarafu-imara",
147+
"page-stablecoins-tools-stablecoinswtf-description": "Stablecoins.wtf hutoa ukurasa wenye historia iliojaa taarifa za masoko, takwimu, na maudhui ya elimu kwa sarafu-imara maarufu zaidi.",
146148
"page-dapps-ready-button": "Nenda",
147149
"pros": "Faida",
148150
"cons": "Hasara",

0 commit comments

Comments
 (0)